RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

TANGAZO KWA WALIOMALIZA MWAKA 2015/2016 WALIOKUWA

WAKIDHAMINIWA NA BODI YA MIKOPO

TAREHE YA MWISHO YA KUSAINI UCHUKUAJI WA VYETI

Kwa wanafunzi waliomaliza masomo yao mwaka wa masomo 2015/2016 waliokuwa wakidhaminiwa na Bodi ya Mikopo nchini (HESLB), mnataarifiwa kuwa tarehe ya mwisho kusaini ada ya masomo ya semester ya pili (2015/2016) na kuchukua vyeti vyenu ni Tarehe 13 Aprili 2017. Baada ya hapo zoezi hili halitaendelea tena!

MUHIMU: Ni lazima kwanza, kusaini malipo ya ada ya mhula wa pili 2015/2016 na kujaza clearance form kabla ya kupatiwa cheti chako. Mwanafunzi ambae hatafuata utaratibu huu hataruhusiwa kuchukua cheti chake.

Imetolewa na Utawala