RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

MAFUNZO YA ADDO

CHUO KIKUU CHA KATORIKI RUAHA (RUCU), KWA KUSHIRIKIANA NA BARAZA LA FAMASI TANZANIA WANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MAOMBI YANAKARIBISHWA KWA WANAOPENDA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA WATOA DAWA WA MADUKA YA DAWA MUHIMU (ADDO) YATAKAYOENDESHWA CHUONI RUCU

SIFA ZA MWOMBAJI

  1. AWE AMEHITIMU MAFUNZO YA UUGUZI (A NURSE)
  2. AWE AMEHITIMU MAFUNZO YA UUGUZI/UKUNGA (NURSE MIDWIFE)
  3. AWE AMEHITIMU MAFUNZO YA UTABIBU (CLINICL OFFICER)
  4. AWE AMEHITIMU MAFUNZO YA TABIBU MSAIDIZI (ASSISTANT CLINICL OFFICER)
  5. AWE AMEHITIMU MAFUNZO YA UUGUZI MSAIDIZI (NURSE ASSISTANT)

NB. Vyeti vyote vilivyorudufiwa vihakikiwe na Mwanasheria au Hakimu

 JINSI YA KUJIUNGA:

FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKAN CHUONI (RUCU) IRINGA OFISI YA UDAHILI (ADMINISSIONS OFFICE) NA KATIKA MTANDAO WA CHUO (www.rucu.ac.tz-click here)

ADA YA FOMU NI SHILINGI ELFU KUMI TU (10,000/=) AMBAYO ITALIPWA KWENYE ACCOUNT NUMBER 026 0000701 KATIKA BANK YA POSTA TANZANIA. RISITI YA MALIPO IAMBATANISHWE WAKATI WA KUREJESHA FOMU YA KUJIUNGA.

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI

FOMU ZOTE ZA MAOMBI ZIREJESHWE KATIKA OFISI YA UDAHILI CHUONI RUCU KABLA YA TAREHE 31/08/2017 SAA KUMI NA MOJA JIONI WALIOCHAGULIWA WATAJULISHWA KWA SIMU SIKU YA USAILI.

 

MAWASILIANO:

KWA MAELEZO ZAIDI FIKA CHUONI RUCU AU WASILIANA KWA SIMU :0655 – 257903