RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

 • LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN ALLIED HEALTH PROGRAMMES

  Read more...  
 • Opening Date for Selected Diploma & Certificate Students

  Read more...  
 • ALMANAC FOR AUGUST TO NOVEMBER 2017

  Read more...  
 • Apply Online

  Online Application

   
 • Applying for Programmes 2017/2018

  Read more...  
 • Fee Structure 2017/2018

  Read more...  
 • Admission Requirements for Degree Programmes 2017/2018

  Read more...  
 • UDAHILI WA WANACHUO MWAKA 2017/2018

  KWA WALIOMALIZA DIPLOMA NA KIDATO CHA SITA ILI KUJIUNGA NA CHUO KIKUU

  Read more...  

 

 1.     Kwa waliomaliza Cheti na Diploma wanatakiwa kuwasilisha nyaraka zao NACTE ili zihakikiwe(verification) kupitia Link ambayo imetolewa kupitia mtandao wa NACTE baada ya uhakiki huo utapewa #code(Award Verification Number-AVN)_ambayo ndio itakuwezesha kufanya UDAHILI kwenye chuo, kumbuka kwa maagizo ya NACTE haitawezekana kupokea maombi ya udahili bila code namba hiyo, zoezi limeshaanza na linaendelea Hadi sasa tarehe ya mwisho ya kufanya zoezi hilo ni tarehe 15/08/2017.

 2.     Kwa waliomaliza Kidato cha Sita maombi UDAHILI kwa mwaka huu Unafanyika moja Kwa moja  kupitia chuo na sio TCU kama miaka iliyopita, UDAHILI utaanza tarehe 22.07.2017 hadi 30.08.2017,Tafadhali fuata maelekezo ya kutuma maombi ili tuweze kufanyia kazi, Kitu cha muhimu ni kwamba hutolazimika kusafiri kuja chuo  kila kitu kitafanyika kupitia mtandaoni (Online), Unachotakiwa kufanya ni kuingia  kwenye  Website yetu ya chuo utatafuta link ya udahili na ufate taratibu ambazo zimewekwa.

 

Kwa mujibu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)Muda uliotengwa ukiisha kwa maana ya tarehe 30.08.2017 hakutakuwa na nyongeza ya muda .

Tafadhali fanya maombi sasa kuepuka usumbufu, utakapokwama wakati unafanya application tafadhali wasiliana nasi mara moja ili tuweze kukusaidia.

NB: Maelekezo zaidi yanapatikana kupitia 

 • www.nacte.go.tz kisha Bofya Award verification
 • www.tcu.go.tz kisha Bofya Admission procedures for 2017/18  uzisome kwa umakini na kuzielewa kuepuka kusumbuka dirisha likifunguliwa 

Asanteni na Karibuni Sana.