RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

 • Awamu ya tatu ya kuomba nafasi za chuo 16-18 Oct 2017

   

  Read more...  
 • CALL FOR ARTICLES FOR PUBLICATION IN RUAHA LAW REVIEW 2017

  Read more...  
 • THE 10TH RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY GRADUATION CEREMONY -INFORMATION FOR GRADUANDS

  Read more...  
 • Admission Letters to Join Various Programmes

  Read more...  
 • List of Applicants Selected but Not Approved

  Read more...  
 • Awamu ya pili ya Kuomba nafasi za chuo

  Read more...  
 • LIST OF APPLICANTS SELECTED RUCU AND OTHER UNIVERSITIES (2017/2018)

  Read more...  
 • LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN RUCU IN VARIOUS DEGREE PROGRAMMES (2017/2018)

  Read more...  

TAARIFA KWA UMMA

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeuntangazia Umma kuwa imefungua maombi ya kuomba chuo kwa awamu ya pili kuanzia tarehe 4 hadi 10 Octoba 2017 ili kuruhusu makundi mbalimbali ya waombaji ambao kwa sababu moja au nyingine hawakuweza kufanya maombi katika awamu ya kwanza:

Sambamba na Tangazo hilo, Chuo Kikuu cha Ruaha kinapenda kuwatangazia umma kuwa nafasi za kuomba katika shahada (degree) mbalimbali bado zinapatikana.

Tembelea Online Admission System kufanya maombi ya kudahiliwa au njoo chuoni kwetu Iringa mjini kufanya maombi yako. 

Aidha, uongozi wa chuo unawakumbusha wanafunzi wote waliochaguliwa RUCU pamoja na vyuo vingine wathibitishe kujiunga na RUCU mapema. Ikumbukwe kwamba wale waliochaguliwa vyuo viwili au zaidi wanapaswa kuthibitisha tu kwa simu au email, hawana haja ya kufanya maombi ya udahili kwa mara ya pili.

Kwa wale ambao walikuwa wameshatuma maombi lakini hawakuwa wamepata AVN kutoka NACTE lakini sasa wameshapata, wanapaswa tu kuwasiliana tena na chuo pasipo kutuma tena maombi kwa mara ya pili.

Karibuni sana, Ruaha Catholic University.