RESEARCH ARTICLE
descriptionPDFUtandawazi wa Kiswahili: Mitazamo ya Ukubalifu na
Mkwamo kama Lugha Rasmi ya Afrika
Year 2016, Volume: 2, Issue: 1, 47-56, 2016-12-02
Gerephace Mwangosi
Ikisiri
Matilaba ya makala haya ni kueleza mambo yaletayo mielekeo tofauti ya watu
kuhusu upokezi na matumizi ya lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya Afrika
ili kushurutisha ukubalifu wake. Aidha, yanabainisha baadhi ya masuala
yanayotiliwa shaka kuhusu uwezo wa lugha ya Kiswahili kumudu harakati na
mahitaji ya utandawazi, kama vile, katika kupitisha teknolojia mpya inayoinukia
katika nyanja za sayansi na teknolojia. Kwa jumla, makala haya yananuia
kufafanua ukubalifu, pamoja na msingi wa mielekeo ya Waafrika kutoipa
kipaumbele lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya bara lao.
Maneno Muhimu
Kiswahili, utandawazi, ukubalifu, mkwamo na sera.
Details
Primary Language
Kiswahili
Journal Section
Research Article
Authors
Gerephace Mwangosi
Publication Date
2016-12-02
Submission Date
0000-00-00
Acceptance Date
0000-00-00
Cite