RESEARCH ARTICLE
descriptionPDFUanadini wa Marijani Rajabu na Athari katika Sanaa Yake
Year 2016, Volume: 2, Issue: 1, 70-83, 2016-12-02
Abel Nyamahanga
Ikisiri
Makala hii ililenga kuonesha athari ya dini ya msanii katika sanaa yake
anayoifanya. Ili kufanikiwa kuliweka bayana wazo hili, ilibidi kuangalia kwa
ufupi maisha ya Marijani Rajabu katika dini na sanaa yake. Nyimbo kama vile,
Rufaa ya Kifo, Alinacha, Mama Watoto, Ndoa ya Mateso, Ukewenza,
Mwanameka, Ukatili ni Unyama, na Nyota Njema zimetumika ili kubaini
maudhui ya kidini yaliyomo. Makala hii ilibaini kuwa sanaa ya Marijani Rajabu
iliathiriwa sana na dini yake.
Maneno Muhimu
Uanadini, Marijani Rajabu
Details
Primary Language
Kiswahili
Journal Section
Research Article
Publication Date
2016-12-02
Submission Date
0000-00-00
Acceptance Date
0000-00-00
Cite