• PRO
  • 03 Mar 2026
  • RUCU-IRINGA

BONANZA LA MICHEZO LA WANAMWAKE 2026

almashauri ya Manispaa Iringa wanakukaribisha kwenye Bonanza la Michezo kuelekea Siku ya Wanawake Duniani

πŸ“… Tarehe: 04 Machi 2026
πŸ“Mahali: Viwanja vya RUCU

Michezo Itakayokuwepo:
πŸƒβ€β™€οΈJogging (Samora – RUCU)
πŸ’ͺ Mazoezi ya viungo
πŸ₯š Kukimbia na yai
πŸ€ Rede na Netball
πŸ” Kukimbiza kuku

Ni fursa ya kuungana, kujenga afya, kusherehekea nguvu ya mwanamke na kuimarisha mshikamano wa jamii.

Karibuni sana tushiriki pamoja!


Source: RUCU

Advertisement