• PRO
  • 27 Apr 2026
  • RUCU-IRINGA

eGA KUSHIRKIANA NA RUCU

Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wamefanya semina katika Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCU) kwa lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya nafasi ya TEHAMA katika maendeleo ya taifa na namna wanavyoweza kushiriki katika tafiti na ubunifu wa teknolojia. Semina hiyo imeangazia fursa zinazopatikana kupitia kituo cha EGA, ambapo wanafunzi wameelekezwa jinsi ya kuendeleza mawazo yao ya kibunifu na kuyageuza kuwa miradi yenye tija kwa jamii.


Source: RUCU

Advertisement