• PRO
  • 01 Jan 2026
  • RUSSIA

FURSA ZA UFADHILI

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kufahamisha umma kwa ujumla kuwa Mpango wa Udhamini wa Serikali ya Urusi (Russian State Scholarship Programme) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 sasa umefunguliwa.


Source: MoEST Wensite

Advertisement