• PRO
  • 10 Feb 2026
  • IRINGA

MABADILIKO TABIA NCHI

Ruaha Catholic University (RUCU) imeendelea kushiriki kikamilifu katika mijadala ya kitaifa inayolenga kuleta mabadiliko chanya ya tabia na maendeleo ya jamii. Kupitia ushiriki huu, RUCU inaonesha dhamira yake ya kuzalisha wahitimu wenye maadili, ujuzi na uwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa.

Ushiriki wa wanafunzi na wataalamu wa RUCU katika mdahalo huu unaimarisha nafasi ya chuo kama kitovu cha maarifa, utafiti na ushauri wa kitaalamu kwa jamii.

RUCU itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha elimu inakuwa chachu ya mabadiliko ya kweli katika jamii.


Source: PRO's OFFICE

Advertisement