• PRO
  • 22 Mar 2026
  • TCRA-ARUSHA

Mashindano ya TEHAMA kwa wasichana AI Hackathon 2026

Ruaha Catholic University (RUCU) inaendelea kuonyesha ubora wake katika kufundisha, kulea vipaji, na kuwawezesha wanafunzi kushiriki kikamilifu katika ubunifu wa teknolojia.

Tunajivunia mafanikio ya Mwanahamisi Mohamed Bakar, mwanafunzi wa Bachelor of Science in Software Engineering, aliyechaguliwa kuiwakilisha RUCU katika AI Hackathon 2026 (TEHAMA) kwa ajili ya wasichana mashindano yaliyoandaliwa na TCRA.

Kupitia mafunzo yetu ya kitaaluma na vitendo, wanafunzi kama Mwanahamisi wanapata uwezo wa kubuni na kutoa suluhisho bunifu kwa changamoto za jamii kwa kutumia TEHAMA.

Hii ni uthibitisho kuwa RUCU si tu chuo cha elimu, bali ni kitovu cha ubunifu, teknolojia na maendeleo ya vijana.


Source: RUCU

Advertisement