MIKOPO
Mtazamo Kuhusu Mikopo: Jamii nyingi huona kukopa kama jambo la aibu, lakini ukweli ni kwamba mikopo ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi ya watu binafsi, kampuni, na hata serikali. Jambo la msingi ni kukopa kwa busara na kuzingatia misingi sahihi
Source: Mwananchi News Paper