RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

Jarida la Fahari ya Kiswahili (JAFAKI)

RUCUJED

About


Jarida la Fahari ya Kiswahili (JAFAKI)
Jarida la Fahari ya Kiswahili (JAFAKI) ni jarida la kitaaluma lililopo chini ya idara ya Lugha, kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Katoliki Ruaha. JAFAKI lilisajiliwa na Maktaba Kuu ya Taifa 2019 na kupewa namba ya usajili e-ISSN 2799 - 2187 (Online). Jarida limejikita katika uchapishaji wa makala za Fasihi, Isimu na Utamaduni wa Kiswahili. Pia, lililoanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wataalamu mbalimbali wa lugha ya Kiswahili kupata fursa ya kuchapisha matokeo ya tafiti zao walizofanya kuhusu lugha ya Kiswahili. JAFAKI linachapishwa mara moja kwa mwaka. Waandishi, watafiti na

Copyright © 2024 RUCU, All Rights Reserved.